Ufafanuzi wa gonya katika Kiswahili

gonya

kitenzi elekezi

  • 1

    laza au tuliza mizimu.

    ‘Gonya koma’

Matamshi

gonya

/gɔɲa/