Ufafanuzi msingi wa gota katika Kiswahili

: gota1gota2

gota1

kitenzi elekezi

 • 1

  gongagonga kitu.

  gonga

Matamshi

gota

/gɔta/

Ufafanuzi msingi wa gota katika Kiswahili

: gota1gota2

gota2

kitenzi sielekezi

 • 1

  fika mahali ambapo ni vigumu kuendeleza jambo au kitu.

  ‘Haya mambo yamegota’
  kwama

Matamshi

gota

/gɔta/