Ufafanuzi msingi wa gotoa katika Kiswahili

: gotoa1gotoa2gotoa3

gotoa1

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha

  • 1

    toa muhtasari.

Matamshi

gotoa

/gɔtɔwa/

Ufafanuzi msingi wa gotoa katika Kiswahili

: gotoa1gotoa2gotoa3

gotoa2

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha

  • 1

    maliza kazi au shughuli.

    ‘Je, shughuli za leo umezigotoa?’

Matamshi

gotoa

/gɔtɔwa/

Ufafanuzi msingi wa gotoa katika Kiswahili

: gotoa1gotoa2gotoa3

gotoa3

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha

Matamshi

gotoa

/gɔtɔwa/