Ufafanuzi wa grafiti katika Kiswahili

grafiti

nomino

  • 1

    picha zilizochorwa ukutani au maneno yaliyoandikwa ukutani nje wanakopita watu ili wayasome au kuziona.

Asili

Kng

Matamshi

grafiti

/grafiti/