Ufafanuzi wa gramu katika Kiswahili

gramu

nominoPlural gramu

  • 1

    uzani unaochukua miligramu 1,000 au sentigramu 100.

Asili

Kng

Matamshi

gramu

/gramu/