Ufafanuzi wa gridi katika Kiswahili

gridi

nominoPlural gridi

  • 1

    mtandao wa nyaya za kusambazia umeme katika eneo kubwa la nchi.

    ‘Baadhi ya miji mikubwa ipo nje ya gridi ya Taifa’

Asili

Kng

Matamshi

gridi

/gridi/