Ufafanuzi wa grife katika Kiswahili

grife

nominoPlural grife

  • 1

    jiwe laini lenye rangi ya kijivu, kijani au zambarau ya buluubuluu ambalo hutengenezwa sleti au kalamu za kuandikia kwenye sleti.

Matamshi

grife

/grifɛ/