Ufafanuzi wa guano katika Kiswahili

guano

nominoPlural guano

  • 1

    aina ya mbolea inayotokana na mavi ya popo au ndege.

Matamshi

guano

/guwanɔ/