Ufafanuzi wa gugumo katika Kiswahili

gugumo

nominoPlural gugumo

  • 1

    harufu ya jasho, hasa la mtu mzima.

    kikwapa, adhifari

Matamshi

gugumo

/gugumɔ/