Ufafanuzi wa gugumu katika Kiswahili

gugumu

nominoPlural gugumu

  • 1

    harufu mbaya inayotolewa na watu hususani wapanda minazi na wagema pombe ya tembo.

Matamshi

gugumu

/gugumu/