Ufafanuzi wa guguna katika Kiswahili

guguna

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tafunatafuna kwa meno ya mbele kama afanyavyo panya au sungura.

    gwengwenya

Matamshi

guguna

/guguna/