Ufafanuzi msingi wa gugurusha katika Kiswahili

: gugurusha1gugurusha2gugurusha3

gugurusha1

kitenzi elekezi

  • 1

    shtua kwa kutikisa au kuliza kitu.

    chakarisha

Matamshi

gugurusha

/guguru∫a/

Ufafanuzi msingi wa gugurusha katika Kiswahili

: gugurusha1gugurusha2gugurusha3

gugurusha2

kitenzi elekezi

  • 1

    zungusha k.v. jiwe la kusagia.

Matamshi

gugurusha

/guguru∫a/

Ufafanuzi msingi wa gugurusha katika Kiswahili

: gugurusha1gugurusha2gugurusha3

gugurusha3

kitenzi elekezi

Matamshi

gugurusha

/guguru∫a/