Ufafanuzi wa gulegule katika Kiswahili

gulegule

nomino

  • 1

    aina ya samaki kama pomboo.

Matamshi

gulegule

/gulɛgulɛ/