Ufafanuzi msingi wa gunda katika Kiswahili

: gunda1gunda2

gunda1

nominoPlural magunda

 • 1

  kitu chenye uwazi ndani k.v. baragumu, siwa, pembe, mwanzi, n.k. kinachopulizwa na kutoa sauti.

 • 2

  king’ora, selo

Matamshi

gunda

/gunda/

Ufafanuzi msingi wa gunda katika Kiswahili

: gunda1gunda2

gunda2

nominoPlural magunda

 • 1

  kazi au shughuli ya kujitolea.

  msaragambo

 • 2

  shamba kubwa lisilopungua eka 50.

Matamshi

gunda

/gunda/