Ufafanuzi wa gundua katika Kiswahili

gundua

kitenzi elekezi

  • 1

    ona kitu kilichokuwa kimejificha au kimefichwa.

    vumbua, fichua, fuma

Matamshi

gundua

/gunduwa/