Ufafanuzi wa gunzi katika Kiswahili

gunzi

nominoPlural magunzi

  • 1

    sehemu ya hindi inayobakia baada ya kupukuchua punje zake.

    guguta, bunzi

Matamshi

gunzi

/gunzi/