Ufafanuzi wa gurudumu katika Kiswahili

gurudumu

nominoPlural magurudumu

  • 1

    kitu cha duara, agh. kinachotengenezwa kwa mpira na ambacho hutumiwa kama mguu wa baiskeli, pikipiki, n.k..

Asili

Kaj

Matamshi

gurudumu

/gurudumu/