Ufafanuzi msingi wa gurugusha katika Kiswahili

: gurugusha1gurugusha2

gurugusha1

kitenzi elekezi

  • 1

    sukasuka kitu kisichokuwa cha majimaji; geuzageuza.

Matamshi

gurugusha

/gurugu∫a/

Ufafanuzi msingi wa gurugusha katika Kiswahili

: gurugusha1gurugusha2

gurugusha2

kitenzi elekezi

  • 1

    boronga kazi; haribu kazi.

Matamshi

gurugusha

/gurugu∫a/