Ufafanuzi msingi wa guruguza katika Kiswahili

: guruguza1guruguza2

guruguza1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    ondoa makapi kwa kutwanga au kusaga.

Matamshi

guruguza

/guruguza/

Ufafanuzi msingi wa guruguza katika Kiswahili

: guruguza1guruguza2

guruguza2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tafuna bila ya meno ya kutosha.

    mumunya

Matamshi

guruguza

/guruguza/