Ufafanuzi wa gururu katika Kiswahili

gururu

nominoPlural gururu

  • 1

    maziwa mazito; maziwa yaliyoganda.

    mtindi

Asili

Kar

Matamshi

gururu

/gururu/