Ufafanuzi wa gurusa katika Kiswahili

gurusa

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na tabia ya kuwakataa wasichana wachumba kwa sababu ndogondogo.

Matamshi

gurusa

/gurusa/