Ufafanuzi wa guruta katika Kiswahili

guruta

kitenzi elekezi

  • 1

    lainisha nguo kwa kuzipitisha katika mashine yenye vigogo viwili vya mviringo vya kukamulia maji.

Matamshi

guruta

/guruta/