Ufafanuzi msingi wa gwanda katika Kiswahili

: gwanda1gwanda2

gwanda1

nominoPlural magwanda

  • 1

    vazi k.v. shati lililoshonwa kwa kitambaa kigumu k.v. kaki au marekani.

    hangungu

Matamshi

gwanda

/gwanda/

Ufafanuzi msingi wa gwanda katika Kiswahili

: gwanda1gwanda2

gwanda2

nominoPlural magwanda

  • 1

    nguo ya kudharaulika isiyokuwa na thamani.

Matamshi

gwanda

/gwanda/