Ufafanuzi wa gwechu katika Kiswahili

gwechu

nominoPlural gwechu

  • 1

    kitu cha zamani hasa chenye mapengo, agh. huwa gololi iliyobandukabanduka.

Matamshi

gwechu

/gwɛtʃu/