Ufafanuzi wa gwengwenya katika Kiswahili

gwengwenya

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa

  • 1

    bandua kwa meno k.v. nyama kutoka kwenye mfupa au nazi katika kifuu.

    guguna

Matamshi

gwengwenya

/gwɛngwɛɲa/