Ufafanuzi wa gwenya katika Kiswahili

gwenya

kitenzi elekezi

  • 1

    bandua kitu kigumu kwa shoka.

Matamshi

gwenya

/gwɛɲa/