Ufafanuzi wa hababi katika Kiswahili

hababi

nomino

  • 1

    jina la heshima.

    mpenzi, bwana, maulana

Asili

Kar

Matamshi

hababi

/hababi/