Ufafanuzi wa habithi katika Kiswahili

habithi

nominoPlural mahabithi

  • 1

    mtu mwovu.

    fisadi, jini, shetani, gwagu

  • 2

    mtu mjanja.

Asili

Kar

Matamshi

habithi

/habiθi/