Ufafanuzi wa hadhira katika Kiswahili

hadhira

nominoPlural hadhira

  • 1

    wahudhuriaji, wasikilizaji, watazamaji wa mzungumzaji au wasomaji wa mwandishi wa jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

hadhira

/haðira/