Ufafanuzi msingi wa hadi katika Kiswahili

: hadi1hadi2

hadi1

kiunganishi

 • 1

  ‘Toka hapa hadi huko’
  ‘Asubuhi hadi jioni’

 • 2

  kwa kweli.

  ‘Mambo haya hadi yamenipata’

Asili

Kar

Matamshi

hadi

/hadi/

Ufafanuzi msingi wa hadi katika Kiswahili

: hadi1hadi2

hadi2

nominoPlural hadi

 • 1

  ‘Nimefurahi hadi ya kufurahi’
  ‘Dhuluma zimefika hadi’

Asili

Kar

Matamshi

hadi

/hadi/