Ufafanuzi wa hadithi! hadithi! katika Kiswahili

hadithi! hadithi!

kiingizi

  • 1

    mwito wa mtu anayedhamiria kuanza kusimulia hadithi.

Matamshi

hadithi! hadithi!

/hadiθi hadiθi/