Ufafanuzi wa hadithia katika Kiswahili

hadithia

kitenzi elekezi

  • 1

    eleza habari za mambo.

  • 2

    eleza hadithi au yaliyotukia.

    simulia

Matamshi

hadithia

/hadiÎļija/