Ufafanuzi wa hafidhi katika Kiswahili

hafidhi

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu aliyehifadhi maandishi, k.v. Kurani yote, moyoni.

Asili

Kar

Matamshi

hafidhi

/hafiĆ°i/