Ufafanuzi wa hafidhina katika Kiswahili

hafidhina, mhafidhina

nomino

  • 1

    mtu asiyependelea au kutaka mabadiliko.

Asili

Kar

Matamshi

hafidhina

/hafiĆ°ina/