Ufafanuzi wa hafifisho katika Kiswahili

hafifisho

nomino

  • 1

    upunguzaji wa thamani ya kitu.

Matamshi

hafifisho

/hafifi∫ɔ/