Ufafanuzi wa haiba katika Kiswahili

haiba, heba

nomino

  • 1

    hali aliyonayo mtu inayowafanya wengine wavutike naye; uvutio wa heshima.

  • 2

    tabia nzuri; mwenendo wa kupendeza.

  • 3

    sura nzuri; urembo, uzuri.

Asili

Kar