Ufafanuzi wa haidreti katika Kiswahili

haidreti

nomino

  • 1

    dutu inayotokana na muunganiko wa hidrojeni na oksijeni.

Asili

Kng

Matamshi

haidreti

/haIdrɛti/