Ufafanuzi wa haika! katika Kiswahili

haika!

kiingizi

  • 1

    neno la kukubaliana na maneno ya shetani anayesema na watu kwa utulivu; Tunasikia!.

    naam!, kweli!, sawa!

Matamshi

haika!

/hajika/