Ufafanuzi wa haikamishina katika Kiswahili

haikamishina

nomino

  • 1

    balozi wa nchi mwanachama wa Jumuiya ya Madola katika nchi mwanachama wa jumuiya hiyo.

Asili

Kng

Matamshi

haikamishina

/haIkamiāˆ«ina/