Ufafanuzi wa hainehaine! katika Kiswahili

hainehaine!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumika kuelezea uchukuaji wa kitu juu kwa juu na kwa kutumia nguvu.

Matamshi

hainehaine!

/hajinɛhajinɛ/