Ufafanuzi msingi wa haini katika Kiswahili

: haini1haini2

haini1

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya tendo la kusaliti nchi, serikali au mfadhili wako.

  asi

Matamshi

haini

/hajini/

Ufafanuzi msingi wa haini katika Kiswahili

: haini1haini2

haini2

nomino

 • 1

  mtu anayesaliti nchi, serikali au mfadhili wake.

  mwasi, msaliti

 • 2

  mshiriki katika jambo baya.

  mdanganyifu

Asili

Kar

Matamshi

haini

/hajini/