Ufafanuzi wa hajiri katika Kiswahili

hajiri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ondoka nchi yako na kwenda kwingineko kwa sababu ya shida au kukimbia mateso.

  • 2

    hama, gura

Asili

Kar

Matamshi

hajiri

/haʄiri/