Ufafanuzi wa haka katika Kiswahili

haka

nomino

  • 1

    malipo ya kufidia kosa fulani katika mambo ya kimila.

    ‘Shika mtu haka’
    ‘Toa haka’
    kuda, faini

Asili

Kar

Matamshi

haka

/haka/