Ufafanuzi wa hakahaka katika Kiswahili

hakahaka

kitenzi sielekezi

  • 1

    jaribu kufanya jambo usiloliweza.

Matamshi

hakahaka

/hakahaka/