Ufafanuzi msingi wa haki katika Kiswahili

: haki1haki2

haki1

nominoPlural haki

 • 1

  jambo ambalo mtu anastahiki au kitu anachostahiki kuwa nacho.

  halali

 • 2

  ‘Haki yangu’
  mali

Asili

Kar

Matamshi

haki

/haki/

Ufafanuzi msingi wa haki katika Kiswahili

: haki1haki2

haki2

nominoPlural haki

 • 1

  uendeshaji wa jambo kufuatia sheria au kanuni zilizowekwa.

  insafu

Asili

Kar

Matamshi

haki

/haki/