Ufafanuzi msingi wa hakiki katika Kiswahili

: hakiki1hakiki2

hakiki1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~isha, ~iwa

  • 1

    pata hakika au ukweli wa jambo.

    peleleza, chungua

Asili

Kar

Matamshi

hakiki

/hakiki/

Ufafanuzi msingi wa hakiki katika Kiswahili

: hakiki1hakiki2

hakiki2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~isha, ~iwa

  • 1

    soma maandishi kwa kuyachambua na kufafanua mambo mbalimbali yaliyomo.

    chambua

Asili

Kar

Matamshi

hakiki

/hakiki/