Ufafanuzi wa hakimiliki katika Kiswahili

hakimiliki

nominoPlural hakimiliki

  • 1

    haki ya kisheria inayotolewa kwa kipindi maalumu, ya kutengeneza na kuuza bidhaa k.v. vitabu, dawa, vinywaji, muziki au sinema.

Asili

Kar

Matamshi

hakimiliki

/hakimiliki/