Ufafanuzi wa hala katika Kiswahili

hala

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua mwanamke wa watu na kutoroka naye.

Matamshi

hala

/hala/