Ufafanuzi wa halafu katika Kiswahili

halafu

kielezi

  • 1

    wakati mwingine usiokuwa sasa; baada ya.

    baadaye, kisha, baada

Asili

Kar

Matamshi

halafu

/halafu/