Ufafanuzi wa halaiki katika Kiswahili

halaiki

nominoPlural halaiki

  • 1

    idadi kubwa ya watu; umayamaya wa watu.

    umati

  • 2

    gwaride la watoto wa shule.

Asili

Kar

Matamshi

halaiki

/halaIki/